Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hibi mbwa anaweza mtinye mtinye wa kundi la nyani ?Tafuta mbwa badala ya bunduki utanishukuru
Moja ya sababu inayofanya viongozi kutudharau ni Ujinga wetu, ona mleta mada alivyokuwa mjinga na mbaya zaidi hajui kuwa ni mjinga!!!kwa aliekua na bunduki ya HALALI
Moja ya sababu inayofanya viongozi kutudharau ni Ujinga wetu, ona mleta mada alivyokuwa mjinga na mbaya zaidi hajui kuwa ni mjinga!!!
Ndio hiyo ya halali nayokusudia awe na vibali vyote kisha tukakabidhiane polisi na utaratibu wa vibali nifatilie .Hakuna bunduki ya halali wewe ambayo utauziwa na mtu binafsi. Ukitaka bunduki halali, fuata utaratibu uliowekwa na serikali.
Kinyume na hapo, nunua gobore la magendo. Halafu ukikamatwa kwa kuhusishwa na ujangili, ni juu yako mwenyewe.