Hautaki binti asome au hautaki asome ualimu wa shule ya msingi?Binti yangu amechaguliwa kwenda chuo cha ualimu msingi, nimemwambia akae kwa kutulia bora hata aende VETA akachukue auto electrical au fitter mechanics au tunner...
Bladi full..🤨
Mkuu umeweka maelezo mafupi sana kuvutia washirika kwa hii kazi ni kama unaita tu mtu wa kukusindikiza sokoni. Hata mkoa au Wilaya haujasema sembuse uwekezekano wa kupata wateja wa kukidhi makadirio ya kipato hicho kikubwa japo na chenyewe hujakiongelea. Ukubwa na udogo wa kitu unategemea unalinganisha na nini, mfano waweza linganisha panzi na sisimizi sasa kwa mwingine vyaweza kuwa vyote vidogo.Biashara ya shule za watoto zinaingiza kipato kikubwa sana. Inategemea na centre ukiyopo.
Karibu tuwekeze kwa wenye mtaji.
Nyumba ipo tena mazingiza yanayovutia sana na ni eneo ambalo watoto wanapata tabu sana kwenda mbali
Njoo tuongee 0719794789
Naichukia kazi ya ualimu, na kuna majeraha ninayo ndani ya moyo wangu hayajapona kwasababu ya hii kazi ya ualimu. (Simaanishi kwamba ni mbaya) lakini kwangu hua naihubiri kama adui wa mafanikio.Hautaki binti asome au hautaki asome ualimu wa shule ya msingi?