Nimekucheki inbox......check asapHabari zenu wanajf?nimepata soko lakupeleka mahindi kenya.Najua utaratibu mzima kuanzia ukusanyaji wa mahindi mpaka kuyafikisha sokoni,ili ikulipe unatakiwa upeleke semitraler moja(tani32)ambapo mchakato mzima utagharimu milioni 15.binafsi nina milioni 5 ambazo hazitoshelezi.aliyevutiwa ani inbox tujuzane zaidi
Ikitiki unistue namieNimekucheki inbox......check asap
pouwa ValeIkitiki unistue namie
Ikibuma afanyaje?Ikitiki unistue namie
0625918277. Nicheck watsupp
nadhani hujasoma post yangu kwa makini ilikua simple tu unifuate kutaka ufafanuzi zaidi coz mwisho wa yote hutofungwa kamba ulazimishwe kushiriki,akili yako ndio muamuziMahindi unayatoa wapi kwenda Kenya ya upande gani Kwa gharama hiyo ya mil 15? wee ndugu wewe jamani kha?
Kwanini usifanye mwenyewe sasa, 15M haikusumbui!tupo na dhamana kubwa tu,tupo na asset zakutosha,tupo na canter mbili kuna nyumba na viwanja pia,ni kias chakuandikishiana nakukubaliana kugawana faida.hakuna tapeli hapa ni vile tumenunua canter ya pili nakujenga nyumba kwa wakati mmoja tena kipindi cha uchaguzi.
1. Canter 2nadhani maelezo yang yamejitosheleza simply coz sina cash
Acha masihara, huna cash na dhamana huna? Au haukopesheki?nadhani maelezo yang yamejitosheleza simply coz sina cash
ninachokimbia kwenye mkopo ni riba ndio mana nipo tayari kushirikiana na mtu then tugawane faida,lkn ili kumuhakikishia usalama wa pesa yake atachagua asset moja wapo iwe km dhamana,ama kama kuna sehemu naweza pata mkopo ni vyema ukanielekeza coz lengo ni kusaidiana.Acha masihara, huna cash n,na dhamana huna? Au haukopesheki?
Nimeshawahi kuibiwa mara mbili biashara za namna hiyo.