Natafuta business partner

Natafuta business partner

Joined
Apr 12, 2017
Posts
16
Reaction score
6
Nahitaji mtu ambaye yuko serious anamalengo na awe mtu asiyependa starehe kupita kiasi awe anajua vzr Biashara
Awe angalau na ml2 jinsia yeyote
Njoo watsapp 0752841018 nikuambie ni Biashara gani tudiskas nipo Moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji mtu ambaye yuko serious anamalengo na awe mtu asiyependa starehe kupita kiasi awe anajua vzr Biashara
Awe angalau na ml2 jinsia yeyote
Njoo watsapp 0752841018 nikuambie ni Biashara gani tudiskas nipo Moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Business partiner hatafutwi kwa staili hiyo. hapo hujashawishi mtu labda Demu wako.

Lazima utoe maelezo ya kutosha yaani changanua kila kitu na mtu mwenyewe ataamua.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuja soon ,wacha nikajazie nna mil 2 kasoro elf mbili wacha nikaijazie ila wakiniwahi unijulishe au utahitaji zaid ya mmoja?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Utapeli kazini, awamu Hii kila kioja tutakiona!Hivi kweli MTU aje kiurahisi hivyo !!? Yeye aje na pesa na Wewe unakuja na nini? Bora ungechanganua ni biashara gani unataka kuifanya, Wewe unamtaji kiasi gani, Na unayetaka kushirikiana nae awe na mtaji gani, Biashara hiyo inatarajia kufunguliwa wapi, Ni faida zipi zitapatikana? Mgawo utakuwaje? Hali ya umiliki itakuwaje? n.k , Sio unakurupuka MTU aje na milioni mbili et aku pm , Labda utapata kwa sababu Wasukuma bado hawajaisha vijijini
 
Back
Top Bottom