King_jcb classic
Member
- Apr 12, 2017
- 16
- 6
Ukipewa jibu fanya kuntag.
HahaaaaaWajinga ndio waliwao.
Subiri waje uwatapeli vizuri mkuu .
Business partiner hatafutwi kwa staili hiyo. hapo hujashawishi mtu labda Demu wako.Nahitaji mtu ambaye yuko serious anamalengo na awe mtu asiyependa starehe kupita kiasi awe anajua vzr Biashara
Awe angalau na ml2 jinsia yeyote
Njoo watsapp 0752841018 nikuambie ni Biashara gani tudiskas nipo Moshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Excellent,well spoken mkuuBusiness partiner hatafutwi kwa staili hiyo. hapo hujashawishi mtu labda Demu wako.
Lazima utoe maelezo ya kutosha yaani changanua kila kitu na mtu mwenyewe ataamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Business partiner hatafutwi kwa staili hiyo. hapo hujashawishi mtu labda Demu wako.
Lazima utoe maelezo ya kutosha yaani changanua kila kitu na mtu mwenyewe ataamua.
Sent using Jamii Forums mobile app