Natafuta business partner

Natafuta business partner

Alamba lolo

Member
Joined
Apr 12, 2019
Posts
16
Reaction score
12
Amani ya mwenyezi Mungu iwe pamoja nanyi popote pale mlipo. Mimi nikijana nilitoka nyumbani Tanzanai miaka 3 iliopita kuja huku nilipo South Africa, kwa lengo lakusaka maisha.

Kutokana na hali inayoendelea kwa sasa huku, bado COVID-19 ipo na haijulikani lini itaisha. So nimeona bora nirudi nyumbani, niwe karibu na ndugu zangu especially wanangu. Kwa miaka 3 nipo huku nimejifunza kazi zamikono, ikiwemo kunyowa, dreadlocks, kuchora tatoo na mengine Mengi.

Natafuta mtu ambaye tutashirikiana kibiashara kwahapo Tanzania mkoa wowote. NB: biashara iwe ni saloon, na ikiwa ni unisex itapendeza zaidi. Kwa maelezo zaidi ni PM.

Asanteni!
 
Kutoka TANZANIA mpaka Joburg kwenda kujifunza kunyoa na kutengeza dreadlock
 
Back
Top Bottom