Natafuta Business Partner

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,243
Natafuta business partner wa kushilikiana nae kuchukua frame. Frame ina ukubwa wa 35sqm tunaweza kufanya partition au kufanya biashara zinazoendana pamoja . Mimi nataka kufungua ice cream parlor, wewe unaweza kuuza chakula, coffee, milkshakes, gift shop, gaming center, au yoyote unayotaka.

Location: Toure drive, Masaki
Kodi: 1.17 million sawa na 582,000 kwa kila mtu
Terms: 3 months

Kama utahitaji tuwasiliane PM
 
Mwenge,sinza,makumbusho etc

Sina uhakika exactly kodi ni kiasi gani lakini bila shaka itakua nafuu kuliko huko masaki
Nataka nifungue high class ice cream parlor, kwa wakazi wengi wa hayo maeneo hawawezi kulipia ice cream ya 12,000 while za 4000 zipo. Alafu for a 35sqm unit bei zinalingana hayo maeneo.
 
Hapa ndio najua umuhimu wa muda zingekuwa enzi zangu ningelipia nipate hiyo frame ila sio kesi mtu yeyote ukimpata ana wazo na nia ya biashara na anaweza akafanyia hapo just pm me.
Ntamlipia
 
Biashara ikianza kwenda vizuri hautaanza kununa nuna mkuu [emoji276]!ili mwenzio abwage manyanga ili umiliki frem peke yako?
 
Hapa ndio najua umuhimu wa muda zingekuwa enzi zangu ningelipia nipate hiyo frame ila sio kesi mtu yeyote ukimpata ana wazo na nia ya biashara na anaweza akafanyia hapo just pm me.
Ntamlipia
[emoji1666]
 
Hapa ndio najua umuhimu wa muda zingekuwa enzi zangu ningelipia nipate hiyo frame ila sio kesi mtu yeyote ukimpata ana wazo na nia ya biashara na anaweza akafanyia hapo just pm me.
Ntamlipia
Nami nataka nimlipie mtu mwenyewe wazo. Tumekutana tuna mawazo yanayofanana. Utani pm pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…