87Method
Member
- Apr 25, 2020
- 21
- 32
Habari, Naitwa Thomas
Leo ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba unapotaka kufikia mafanikio basi fanya kazi kwa bidii lakini kama ukitaka mafanikio makubwa zaidi basi inakupasa kushirikiana na wengine na kufanya kazi kama team.
On my side nina wazo la kutengeneza applications ambazo zitatumika Tanzania kwenye industries such Finance and entertainment. Na hizi applications nishazifanyia market reasearch na nimeona hamna anything like it kwa sasa thou zipo zilizo na specifications zinazo fanana which is kitu normal kwa apps. Basically app mmoja itakua for mobile transaction na nyingine for mobile Entertainment
TEAM NINAYOHITAJI
1.Vijana wawili wenye uwezo wa. masuala ya IT hasa. Developing the applications,websites na graphics kwa ajili ya uandaaji na shughuli za IT
2.vijana wawili ambao watakuwa kwenye upande wa marketing and branding hawa watakuwa wanahusika zaidi kwenye ku market hizi applications.
NB: Siangalii Gender wala umri wa mtu bali ninachoangalia ni uaminifu pia commitment ya kazi na cooperation.
MALENGO YA TEAM
Malengo makubwa ya kutaka kuundwa kwa Team hii ni kuhakikisha kuwa tunatengeneza hizi apps na kuzi sajili na kuzi market pia tunafungua ofisi na kampuni.
MALENGO YA AWALI
•kufungua application
•kujisajili
• kujitangaza
•kufungua ofisi
Pia unaweza kuwa umelipenda wazo langu na una uwezo wa kuwekeza fedha yako kwa mkataba maalum tunaweza kuonana tukafanya kazi. kulingana na mkataba tutaokubaliana kumbuka mpka sasa hakuna kampuni hata moja inayohusika kikamilifu katika kutengeneza applications kama hizi ndani ya Tanzania japo kuna demand kubwa sana.
kwa ushauri na maswali unaweza kuniuliza na kwa wale watakaopenda kuungana nami ili tuwe partners mna karibishwa pm kwa kujieleza unafit vip kama ukichaguliwa
cha mwisho kwa wale wataokuwa tayari ni kwamba pale itapo itajika kitu tutachangia gharama sawa na kuwa na profit share sawa.
Asante kwa muda wenu
karibuni
Mawasiliano: 0699458838