Mimi ni mtanzania nipo maeneo ya wilaya ya Mkuranga Pwani. Nimefanikiwa kumiliki shamba/jangwa la kuzalisha chumvi kwa njia ya jua katika maeneo ya pwani ya bahari ya hindi. Tayari nimesha kata leseni ya uzalishaji wa madii ya chumi katika ofisi ya madidi kanda ya mashariki.
Tatizo ni mtaji wa kuendeshea shughuli ya uzalishaji wa chumvi. Ifahamike kwmba kazi ya uzalishaji chumi hufanyika wakati wakiangazi (july-nov) na (feb-march). Kazi hii huhitaji mtaji mkubwa kiasi kwaajili ya kujenga matuta ya kuzuia maji ya bahari naujenzi wa mabirika napia fedhanyingi inahitajika kwa ajili ya kulipa vibarua wa kuzoa hum i, ujenzi wamagarayakuhifadhi chumvi nk.
kwaujumla kiasi kamacha Tsh 30milioni kitatosha kuanzia kazi hiyo nabaadaye itaweza kujiendesha.
kwa sasa mimi sina mtaji huo hivyo natafuta mtu mwenye nia kama yangutuungane tufanye kazi hiyo. tunaweza kuuza chumvi ya maweau tunaweza kusaga na kuuza chumvi ya unga.
kwa mwenye nia tuwasiliane ilinimpe mchanganuo zaidi simu yangu 0656330095.