Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
5m (Medium prediction)...Kwa plan yako unadhan mtaji unaohitajika ni kama shilingi ngap kwa makadilio tu
Kwa plan yako unadhan mtaji unaohitajika ni kama shilingi ngap kwa makadilio tu
5m (Medium prediction)...
Weka mchanganuo hapa, tatizo siyo pesa, tatizo vijana mnashindwa kuandika clear proposal mtu akasoma na kuelewa na akaona na profit iko wapi.4M~5 Mkuu.... Njoo tufanye bussness
Weka mchanganuo hapa, tatizo siyo pesa, tatizo vijana mnashindwa kusndika clear proposal mtu akasoma na kuelewa na akaona na profit iko wapi.
Kumbuka hakuna mtu mwenye pesa za kutupa bila kuzalisha faida.
Hapo kwenye kiti moto tu ndio umenikatisha tamaa