Natafuta Camera used, Nikon au Canon

Natafuta Camera used, Nikon au Canon

BROTHER OF BROTHERS

Senior Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
113
Reaction score
159
Ndugu yangu natafuta camera nzuri Used yenye uwezo wa still picture Kali niingie nayo vijiweni tayari nina mashine ya picture nzuri EPSON L850 Naomba Pia ushauri wa Camera hizo nitashukuru Sana Bei yangu Nina Laki 2.
 
Bajeti ya laki mbili labda upige picha kwa simu
 
Bajeti ya laki mbili labda upige picha kwa simu
Mkuu inatakiwa niwe na dau la kuanzia Tsh ngapi? ujue kumebadikika Sana mtaani ukizingatia wateja wengi wanahitaji kuona Camera kubwa ndo wanaamini upo Makini na Kazi.
 
Mkuu inatakiwa niwe na dau la kuanzia Tsh ngapi? ujue kumebadikika Sana mtaani ukizingatia wateja wengi wanahitaji kuona Camera kubwa ndo wanaamini upo Makini na Kazi.
Bei ya hizo kamera ni kuanzia laki 6 na kuendelea. Tena hiyo ni ile ya kununua kwa mtu! Bajeti ya laki 2 utapata vile vikamera vidogo vya sony, nk.
 
Back
Top Bottom