BROTHER OF BROTHERS
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 113
- 159
Weka ela ya kueleweka nikutumie kutoka kwa King 3Ndugu yangu natafuta camera nzuri Used yenye uwezo wa still picture Kali niingie nayo vijiweni tayari nina mashine ya picture nzuri EPSON L850 Naomba Pia ushauri wa Camera hizo nitashukuru Sana Bei yangu Nina Laki 2.
Mkuu inatakiwa niwe na dau la kuanzia Tsh ngapi? ujue kumebadikika Sana mtaani ukizingatia wateja wengi wanahitaji kuona Camera kubwa ndo wanaamini upo Makini na Kazi.Bajeti ya laki mbili labda upige picha kwa simu
Bei ya hizo kamera ni kuanzia laki 6 na kuendelea. Tena hiyo ni ile ya kununua kwa mtu! Bajeti ya laki 2 utapata vile vikamera vidogo vya sony, nk.Mkuu inatakiwa niwe na dau la kuanzia Tsh ngapi? ujue kumebadikika Sana mtaani ukizingatia wateja wengi wanahitaji kuona Camera kubwa ndo wanaamini upo Makini na Kazi.