SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi usitafute spea za elektroniki madukani, nenda mitaa ya Gerezani na Kisutu utawakuta wanaouza maskrapu barabarani, au pita kwa wanaonunua vyuma chakavu utakuta wanabomoa ac, majiko, mashine za kufulia na za fotokopi na vinginevyo, utapata.Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?![]()
Okay, nimekupata. Ila hiyo ya 10 naambiwa baada ya muda motor itakufa maana itakuwa inapokea moto mwingi.Siku hizi usitafute spea za elektroniki madukani, nenda mitaa ya Gerezani na Kisutu utawakuta wanaouza maskrapu barabarani, au pita kwa wanaonunua vyuma chakavu utakuta wanabomoa ac, majiko, mashine za kufulia na za fotokopi na vinginevyo, utapata.
Hata hiyo ya 10 inakufaa, kizo ni za kuanzishia mota tu.
Ni aina gani ya mashine ya kufulia.
Yenye hii capacitor,huenda mtu sio fundi lkn ana aina ya mashine mbovu imekaa tu nyumbani kwake unaweza pata kifaa.