Natafuta Carrier ya aina hii

fanya km unaelekea MUHAS utapata wapo wengi sana pale
 
Nenda mtaa wa Lumumba utapata kila kitu
 
Wadau Naomba Msaada wa Maduka yanayouza Carrier kama Hizi Kwa hapa DAR


 
Nenda lumumba kuna maduka ya vifaa na mapambo ya ya magari
 
Mbona nyuzi za kuulizia carrier zimekuwa nyingi?

Isije kuwa ni deal jipya mjini watu mnakula kimya kimya. [Joke]

kila la heri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…