Natafuta Centre Wanayofundisha Kifaransa

halimbaya

Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
63
Reaction score
15
Habari wakuu,
Nina shida ya kupata ufahamu wa lugha tajwa hapo juu,naomba maelekezo ya centre ambazo wanafundisha kwa hapa Dar ikiwezekana na direction zake na mawasiliano pia.
Nawasilisha.
Asante
 
kama una smart phone download application inaitwa 'busuu' itakusaidia kujifunza zile basics,iko playstore
 
Habari wakuu,
Nina shida ya kupata ufahamu wa lugha tajwa hapo juu,naomba maelekezo ya centre ambazo wanafundisha kwa hapa Dar ikiwezekana na direction zake na mawasiliano pia.
Nawasilisha.
Asante

Alliance francaise ipo pale las Vegas casino kwa nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…