Natafuta chainsaw used

Natafuta chainsaw used

The Signal

Member
Joined
May 26, 2022
Posts
10
Reaction score
5
Habarini wadau kama mada inavyojieleza hapo juu. Natafuta chainsaw used.

1.Aina ni HUSGVARNA(272) 2.20 Inches

Kwa mtu aliyetayari naomba tuwasiliane
NB.
Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechoka.
 
Habarini wadau kama mada inavyojieleza hapo juu.
natafuta chainsaw used,

1.Aina ni HUSGVARNA(272)
2.20 Inches
Kwa mtu aliyetayari naomba tuwasiliane
NB.
Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechoka.
Mazagaza ya hivyo muone Chris Lukosi wa KC, ofisi zao zipo mikocheni, mcheck Facebook chukuwa namba ya simu ya Bongo yeye yupo UK
 
Mkuu utalia.
Panda gari nenda Nairobi hapo tuu na hela yako mfukoni uchague mwenyewe. Haya ya kuagiziwa waachie hao mabwana.
 
Back
Top Bottom