Natafuta Cheap Lodge/Hotel mjini kati Mwanza

Natafuta Cheap Lodge/Hotel mjini kati Mwanza

camily

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
257
Reaction score
621
Habari wakuu..

Msaada kidogo naombeni, lodge/hotel nzuri Mwanza mjini kati kwa gharana za 30k-50k
 
We fika tafuta boda au taxi utapelekwa lodge ni nyingi
 
Back
Top Bottom