Natafuta Chimbo la kupoa Igunga

Natafuta Chimbo la kupoa Igunga

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Igunga kesho dakika za jioooooniiii kabisa nitakuwa hapo.

Baada ya kupata fedha zangu za mauzo ya korosho (mnada wa kwanza na choma choma)

Nimeona ni Bora nitembelee Igunga mahali ambapo niliwahi kuajiriwa mwaka 2018 nikaacha kazi baada ya kuona mshahara haukidhi mahitaji yangu.

Sipajui vizuri kwani sikukaa zaidi ya siku 30, naomba mwenye kujua chimbo la kamari na dadapoa anielekeze Ili nikifika hapo nisiwe mgeni sana

Mmakondee chalee
 
Back
Top Bottom