Natafuta chimbo la mafuta ya kupikia ya Mico Gold

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama.

Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja wangu.
 
Kuna Bandari bubu Somewhere near the sea within Dar es Salam Kuna Zutu ya magendo inapatikana nilisikia hayo kutok Kwenye kijiwe cha kawaha
 
Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama.
Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja wangu.
Hayo nenda Bandar bubu kunduchi
 
Ahsante kwa taarifa nitafuatilia huko, japo nikipata direct connection na supplier itakuwa poa sana.
Unachokitafuta utakipata, wale manjagu wanadaka wahusika na wateja wao mpaka uchambuliwe huko central mtaji wote kwisha.
 
Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama.

Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja wangu.
Ni PM mkuu,kama upo seriously
 
Back
Top Bottom