Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Nenda TRL biashara nzuri kule.
Ahsanteni wandugu kwa michango yenu.....at least nimepata pa kuanzia.
Nenda pia kwenye kiwanda cha magari ya kijeshi pale Nyumba Kibaha wana vyuma vingi tu! na hawana kazi navyo