JF ni forum ya kujadili mambo ya msingi,ikiwemo kutoa mchango wa mawazo ili kufanikisha malengo ya members.so mdau hapo juu jf siyo kijiwe cha madalali ni sehemu ya kushare information na kupata solutions za mahitaji ya memberss.
mimi binafsi nimefaidikia sana kwa kuwa member wa JF ,nimepata ushauri wa kitibabu na pia ktk kuboresha vyanzo vyangu vya mapato.
-----------------
mdau ungependa upate chumba sehemu gani in songea,mimi nina rafiki yangu amehamia songea kufanya biashara and amefanikiwa,naweza kukupa namba yake ya simu akusaidie- pia kuna member humu anaitwa mama david (nadhani) yeye yupo songea na ni mjasiriamali anaweza kukupa msaada