Natafuta chumba cha kuishi maeneo ya Msasani au Kinondoni

Natafuta chumba cha kuishi maeneo ya Msasani au Kinondoni

Boss Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2022
Posts
458
Reaction score
991
Madalali mko wapi aisee! kuna raia anataka chumba Cha kuishi maeneo hayo niliyoyataja, na bajeti yake ni 70k, 80k, hadi 100k

Mwenye nacho anicheki nimconnect na jamaa
 
Back
Top Bottom