Nahitaji chumba cha kupanga
Location: Moshono au Njiro
Conditions: double self, umeme wa kujitegemea, kisiwe mbali na barabara
Budget: laki mbili (200,000/=)
Kwa yeyote atakae weza kusaidia kwa hilo natanguliza shukrani.
Nahitaji chumba cha kupanga
*location _ Moshono au Njiro
*conditions _ Single self, umeme wa kujitegemea, kisiwe mbali na barabara
*budget _ laki (100,000/=)
Kwa yeyote atakae weza kusaidia kwa ilo natanguliza shukrani.