Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Kamanda sasa kama huna hela ya dalali utapatajeHabari za leo wanajukwaa?. Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Buguruni, kuanzia Buguruni sheli, Rozana, Malapa, hadi Msaada Gereji. Bajeti yangu ni 30,000/= nyumba uwe na maji na umeme. Asanteni. (Msaada tu, sina hela ya kulipa dalali).
Nitapata kupitia msamaria mwema ambaye ataamua kunisaidia akijua kuwa watu hatulingani vipato. Ni kama msaada tu, tujifunze kutoa msaada, hata Mimi niliwahi kuwa dalali katika mkoa mmoja wa kusini, kuna muda nilikuwa natoa tu msaada.Kamanda sasa kama huna hela ya dalali utapataje
Tumia fani yako ya udalali sasa, unakwama wapi?[emoji4]Nitapata kupitia msamaria mwema ambaye ataamua kunisaidia akijua kuwa watu hatulingani vipato. Ni kama msaada tu, tujifunze kutoa msaada, hata Mimi niliwahi kuwa dalali katika mkoa mmoja wa kusini, kuna muda nilikuwa natoa tu msaada.
Mganga hajigangi. Ila poa tu na nyie mtakuja kwetu MtwaraTumia fani yako ya udalali sasa, unakwama wapi?[emoji4]
Mtwara au nt'wara!!Mganga hajigangi. Ila poa tu na nyie mtakuja kwetu Mtwara