Natafuta chumba cha kupanga cha 50,000/= nina kodi ya miezi 6

Natafuta chumba cha kupanga cha 50,000/= nina kodi ya miezi 6

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
386
Reaction score
514
Ndugu wa Tegeta

Ndugu wa Mbezi Beach

Ngugu zetu wa goba mupoo

Chumba cha 50,000/=

6 months nalipa

Wapangaji wasizidi wa 3

Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo

Gypsum

Tiles muhimu

Ikiwa master ni vizuri zaidii...

Msaada jamani
 
Yani mwenye nyumba aache kukaa kwake kwasababu tu una mpa laki tatu kwa miezi sita???? Mimi nakushauri jenga yko
 
Yani mwenye nyumba aache kukaa kwake kwasababu tu una mpa laki tatu kwa miezi sita???? Mimi nakushauri jenga yko
inshallah mwenyezi atajalia kheri... asante kwa ushauli pia namaanisha wapo wenye nyumba mbili tatu au wapo walio jenga nyumba kwa ajili yasisi tunaojipanga kabla ya kwenda kujenga tuishi.... sijasema ninafukuza mwenye nyumba...
 
Back
Top Bottom