magasi jnr
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 364
- 560
Habarini Wakuu,
Kama Kichwa cha habari hapo Juu Natafuta chumba maeneo ya Msewe, Ubungo, Mwenge, Sinza, Survei na yote karibu na maeneo tajwa hapo Juu.
Sitaki Kuwachosha sana Bajeti yangu ni Elf60k
NAWASILISHA.