magasi jnr
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 364
- 560
Hapana mkuu...chuo cha maji tu apoUtakuwa mwanafunzi wa UDSM wewe.
Ushapata???Habarini Wakuu,
Kama Kichwa cha habari hapo Juu Natafuta chumba maeneo ya Msewe, Ubungo, Mwenge, Sinza, Survei na yote karibu na maeneo tajwa hapo Juu.
Sitaki Kuwachosha sana Bajeti yangu ni Elf60k
NAWASILISHA.
Mbona chuo cha maji kina hostel zuri sanaHapana mkuu...chuo cha maji tu apo
Mkuu na mimi nahitaji kama kipo niambieU
Ushapata???