Natafuta Chumba cha Kupanga Ilala au Tabata

Natafuta Chumba cha Kupanga Ilala au Tabata

Learner41

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
22
Reaction score
65
Habari wakuu,

poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu samahani, natafuta chumba kimoja cha kupanga maeneo ya ilala au Tabata.

Budget line ni kuanzia 30,000 mpaka 70,000 kwa mwezi.

Payment iwe kila baada ya miezi 3.
 
Back
Top Bottom