Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiweza kupata maeneo ya mabibo ya loyola itakuwa safi sana maana kule ni gari moja tu na unaanza nalo mwanzo wa gari kituoni kabisa. Kila la kheri!!Habari wana jukwaa
Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya Kimara, Buguruni, Magomeni au eneo lolote lisilo na Foleni ya Kwenda Muhimbili National Hospital(gari moja)
Kiwe kizuri, ikiwezekana na Picha nione, bei isiwe ya kutisha.