M Malale JB Member Joined Jun 22, 2016 Posts 22 Reaction score 33 Oct 23, 2017 #1 Habari wana jukwaa Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya Kimara, Buguruni, Magomeni au eneo lolote lisilo na Foleni ya Kwenda Muhimbili National Hospital(gari moja) Kiwe kizuri, ikiwezekana na Picha nione, bei isiwe ya kutisha.
Habari wana jukwaa Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya Kimara, Buguruni, Magomeni au eneo lolote lisilo na Foleni ya Kwenda Muhimbili National Hospital(gari moja) Kiwe kizuri, ikiwezekana na Picha nione, bei isiwe ya kutisha.
Exogenous Factor JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 1,401 Reaction score 2,336 Oct 23, 2017 #2 Malale JB said: Habari wana jukwaa Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya Kimara, Buguruni, Magomeni au eneo lolote lisilo na Foleni ya Kwenda Muhimbili National Hospital(gari moja) Kiwe kizuri, ikiwezekana na Picha nione, bei isiwe ya kutisha. Click to expand... Ukiweza kupata maeneo ya mabibo ya loyola itakuwa safi sana maana kule ni gari moja tu na unaanza nalo mwanzo wa gari kituoni kabisa. Kila la kheri!!
Malale JB said: Habari wana jukwaa Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya Kimara, Buguruni, Magomeni au eneo lolote lisilo na Foleni ya Kwenda Muhimbili National Hospital(gari moja) Kiwe kizuri, ikiwezekana na Picha nione, bei isiwe ya kutisha. Click to expand... Ukiweza kupata maeneo ya mabibo ya loyola itakuwa safi sana maana kule ni gari moja tu na unaanza nalo mwanzo wa gari kituoni kabisa. Kila la kheri!!
M Malale JB Member Joined Jun 22, 2016 Posts 22 Reaction score 33 Oct 23, 2017 Thread starter #3 Asante Boss