Ibusai Member Joined Apr 25, 2014 Posts 40 Reaction score 4 Jul 2, 2014 #1 Habar wadau, Ninatafuta nyumba ya kupanga kateshi mkoan manyara, vyumba viwil na sebule, kuwepo na huduma ya umeme na maji na security ya kutosha! Kama upo tayar kwa hlo naomba unipm nitakutafuta. Majukumu mema wakuu!
Habar wadau, Ninatafuta nyumba ya kupanga kateshi mkoan manyara, vyumba viwil na sebule, kuwepo na huduma ya umeme na maji na security ya kutosha! Kama upo tayar kwa hlo naomba unipm nitakutafuta. Majukumu mema wakuu!