Kichwa cha Habari chatajwa... Natafuta chumba cha Kupanga ambacho kodi yake kwa Mwezi haitazidi 30,000/- maana yake kwa miezi sita ni 180,000/-
Kiwe maeneo ya Kibamba hasa hasa Kibamba Chama au Kibamba Njia Panda. Umbali kwenda ndani yaani kutoka Lami kuingia ndani usizidi 1km.
Mwenye Access ya hili ani PM tuzungumze. Asante