Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi

Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo.

Mweye nacho tafadhali tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…