Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco, Mkuyuni, Bwiru, Nyegezi, Mkolani.
Kisiwe mbali na stendi ya daladala za kwenda mjini, kama unacho au unamjua dalali au una namba yake ya simu, niunganishe naye
ichenjezya,
Mi nina nyumba ina vyumba viwili mkuu kimoja master, sebule n choo ya ndani kodi ni laki na nusu kwa mwezi, nililipia kodi mpaka mwezi wa sita hivyo nahama, nirudishie laki tatu mpaka mwezi wa sita