Natafuta chumba cha kupanga single self (Mbeya town)

Natafuta chumba cha kupanga single self (Mbeya town)

Baba Tarabushi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
248
Reaction score
433
Habari za wandugu!

Naombeni msaada wakuu.

Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza)

Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
 
Back
Top Bottom