Natafuta chumba cha kupanga Ubungo

Nauli au Kodi au posho ya 50000

Elezea unataka ubungo ipi?maziwa, Riverside, Kibangu, Elezea hasa kwa wapi maana ubungo kubwa
 
Habari wanaJF,

Ninatafta chumba cha kupanga kwa nauli ya 50,000/= kwa mwezi ila choo kiwe cha ndani maeneo ya Ubungo.

Kwa mwenye info anijuze jamani.
Self 50,000? Ubungo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…