MTETEZI WA WANYONGE
Member
- May 30, 2014
- 47
- 23
Anti mbagalist watasema mbagala bei cheeKinawezaje kua kizuri kumbe Tegeta bei easy ivo?
Tegeta Kibo upate chumba kizuri kwa elfu 40???? Au uzuri upi unaouzungumzia wewe?Habari,
Nahitaji chumba Cha kupanga maeneo ya TEGETA,KIBO nk
Kiwe kuzuri
Kuanzia 30 hadi 40 Kodi maelewano miezi 3