Natafuta chumba cha kupanga

MONRACE

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
272
Reaction score
640
Hellow wana JF... dada yenu nimekuja kwenu ndugu zangu... natafuta chumba chenye choo ndani (self contained) urgently

Maeneo iwe Kigamboni yoote.. ikiwa barabara ya Kisiwani au mji mwema mpaka Ferry itapendeza saana, karibu na barabara muhimu kuwe na maji+ umeme na kiwe kwenye hali nzuri. Pesa ya dalali mwezi mzima SINA ila "kifuta jasho" kwa mtu wa kuniunganisha kinapatikana, najua kuna watu mna nyumba na kuna watu mnawafahamu wenye nyumba kindly connect me with them...

Budget 60,000-70,000/=

Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaandika namba yangu ya simu ya mkononi hapa bali waweza kucoment kisha nitakuja private thank you in advance.
 
All the best
 
Njoo uishi kwangu hapa hapa kigamboni upunguze gharama
 
Ningekuunganisha tatizo Bajeti yako ndogo,rafiki yangu ana Apartment maeneo hayo yenye sifa utakazo lakini Bei yake ni 100,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…