Wadau wa jukwaa hili natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Ubungo, Changanyikeni, Makongo juu, Mwenge, Kijitonyama, Mabibo na Kimara.
Bajeti yangu inaanzia elfu 40 mpaka 50 kutegemea na ubora wa chumba.
Kodi Nitatoa kuanzia miezi 6 mpaka 9.
Mwenye nacho anicheki hapa 0787577755 au PM.