HI ,
Natafuta Chumba kitakachofaa ya Matumizi ya ofisi kwa ajili ya kukipangisha,Square metre 10 maximum,Office Sharing vile vile inakubalika ila Ustaarabu ni muhimu.
Maeneo:Mikocheni,Kinondoni,au eneo jingine katikati ya jiji.
kama kuna mtu anataarifa au anasehemu anaipangisha tafadhali ni email katika email ifuatayo
kgb.tanzania.company@gmail.com