Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,883
Kipo kwa Mwezi andaa 100kHabari JF.
Natafuta chumba kigamboni chenye choo cha ndani na geti la kulaza chombo cha usafiri.
Maeneo yafuatayo
1 Mikadi
2 maweni
3 The giant.
Chumba chenye choo ndani! Ahsante Sana
Hapana Kaka! Kwa mwezi 100k UongoKipo kwa Mwezi andaa 100k
Ngoja wadau wengine waje kutoa hints Hapa MkuuHapana Kaka! Kwa mwezi 100k Uongo
Sina uwezo huo.
Nina 60,000/=
Afu umeacha chuo umekuwa dalali bro, [emoji2]
Bei iyo atapata kisalawe a au mwasongaKigamboni chumba chenye choo ni kuanzia 80k...maeneo hayo unayotaka wewe andaa kuanzia 100k sehem nzuri...chini ya hapo ni uswazi na utaibiwa vitu vyako tu