Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Mimi ntakuuzia shuka afu3 tuKuna kabiashara kangu hapa DSM, nimeleta mfanyakazi toka mkoani, nahitaji kumpangishia chumba kimoja self,
1. Chumba 1 self maeneo ya Kawe, mwenge, msasani, au popote nitachagua nikipapenda
2.kitanda 1 futi 4x6
3.godoro 1 futi 4x6
kama kuna anayeuza hivyo, tuwasiliane.
Jomba umekuja kuwaje?Mkuu wewe ni MamaSamia2025?
Nakuwaza arifuJomba umekuja kuwaje?
Achaga hizo pigo bamdoNakuwaza arifu
mbna profile pic zenu znafanana mkuu hyo ndo point yakeAchaga hizo pigo bamdo
Sio dhambi profile pic kufananambna profile pic zenu znafanana mkuu hyo ndo point yake
sawa yesu anakujaSio dhambi profile pic kufanana