Natafuta Chumba master (100k) Mbezi Beach au Goba

Natafuta Chumba master (100k) Mbezi Beach au Goba

kamandawasua

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
326
Reaction score
86
Habari JF,
Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba

Chumba kiwe ni kikubwa na Master.
Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja.
Wapangaji wasiwe wengi (8+).
Kuwe na uzio/fensi
Kodi 100k kwa mwezi malipo miezi 3.
 
Vipi mkuu mbona kimya... chumba ulipata maeneo hayo?
 
Back
Top Bottom