Natafuta chumba Moshi

Natafuta chumba Moshi

Kidawa_hiphop

Senior Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
184
Reaction score
274
Wakuu natafuta chumba Moshi maeneo ya karibu na KCMC..Chumba chenye choo ndani.

Bajeti yangu ni 70k-90k kwa mwezi.
Mwenye connection tafadhali naomba msaada
 
Kipo cha 150 hapa hapa maduka ya chini kwa bi mkubwa kama unaelekea shanti
 
Back
Top Bottom