Natafuta Chumba na Sebule ya Kupanga Kgamboni, Knondoni B,

mgoshawampasa

Senior Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
105
Reaction score
27
Natafuta chumba na sebule kgamboni dar, chumba na sebule nachotaka kiwe kinajitegemea namaanisha mlango wa kuingilia kwenye hyo sebule uwe wa peke yake sio wa kuchangia na vyumba vngne, viwe na tiles, gpsum, rangi, self, kuwe na umeme na maji na vwe ndan ya geti au eneo salama sana, kama unapangisha au una mjua anayepangisha tuwasiliane.
 

Ni PM, kuna set 2 za chumba self contained na sebule yake Kigamboni. Pango ni 150,000 na 160,000 unalipia miezi sita na haviko mbali na feri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…