Natafuta chumba Scandinavia country

Natafuta chumba Scandinavia country

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,121
Reaction score
885
Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
 
Sasa si aende sweden atafute. Ila ngumu sana. Ana watoto wawili ampate mu EA, mammae, anayeisha sweden. Wanawake wa east africa at that age wote wakiachana na waume zao, wanarudi kwa ma ex tena wale classmates.
 
Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
Miaka 42 upo single? Wafa!
 
Mchumba awe Muafrica lakini atokee Sweden alafu unamtafutia JF.
Duuu huyo atakufa akiwa single
 
Hadi sasa kuna DM tano wapo interested namba zinasoma wawili wanaishi Denmak wa tatu Sweden wakiwepo watanzania wa tatu! Guys JF haiishii Dsm!
Hahahaaah! We jamaa unatuchukuliaje sisi? Yaani utafute chumba harafu waje wachumba, are you serious?

Hiyo Denmark na Sweden labda ni ya Buza na Tandale respectively
 
Kuwa singo INA maana hujui maana yake? Mmoja akijtoa au kutolewa so mwinge anabaki peke yake?
 
Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
Kuna jarida liko denmark Deb bla avis aandike hapo maelezo yake,atapata mke,au aje inbox nimpe simu ya mdada wa kitanzania yuko denmark anafanya kazi ya kuunganisha wazungu wanaume na wanawake waafrika
 
Back
Top Bottom