Miaka 42 upo single? Wafa!Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
Mchumba awe Muafrica lakini atokee Sweden alafu unamtafutia JF.Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
Halafu jamaa anatafuta chumba!Kumekuchaaa... Scandynavia ipo jf sasa!
Hadi sasa kuna DM tano wapo interested namba zinasoma wawili wanaishi Denmak wa tatu Sweden wakiwepo watanzania wa tatu! Guys JF haiishii Dsm!Mchumba awe Muafrica lakini atokee Sweden alafu unamtafutia JF.
Duuu huyo atakufa akiwa single
Hahahaaah! We jamaa unatuchukuliaje sisi? Yaani utafute chumba harafu waje wachumba, are you serious?Hadi sasa kuna DM tano wapo interested namba zinasoma wawili wanaishi Denmak wa tatu Sweden wakiwepo watanzania wa tatu! Guys JF haiishii Dsm!
Kuna jarida liko denmark Deb bla avis aandike hapo maelezo yake,atapata mke,au aje inbox nimpe simu ya mdada wa kitanzania yuko denmark anafanya kazi ya kuunganisha wazungu wanaume na wanawake waafrikaGuys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest