Natafuta chumba, sebule choo na jiko Kigamboni

Natafuta chumba, sebule choo na jiko Kigamboni

Anyyouwish

New Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Habari ya wakati huu wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, madalali wamenichosha hakika na wasumbufu na hawatimizi hitaji😄

Natafuta chumba, sebule choo na jiko ndani kwa bajeti ya 150,000. Kiwe mazingira salama na ndani ya uzio(sitokuwepo muda mwingi)

Maeneo ni Kigamboni, Mjimwema au Kibada kuanzia Kibada shule mpaka Kwadole.
Ikiwa karibu na barabara nitashukuru sana
Ninapatikana kwa namba hii 0744407478

Sihitaji dalali
 
Back
Top Bottom