Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 3,029
- 8,823
Umenistua moyo ujue?Nikadhani unatafuta "mchumba"!Natafuta chumba kizuri sana mitaa ya Mwenge kiwe master, choo, bafu, jiko na mahitaji yote muhimu.
Kiwe eneo lenye usalama wa kutosha na kiwe jirañi na lami...
CHUMBA CHA WAGENI WA OFISI kwa lengo la Mqzungumzo, Mikutano, Kulala, Chakula Nk nk nk.Natafuta chumba kizuri sana mitaa ya Mwenge kiwe master, choo, bafu, jiko na mahitaji yote muhimu.
Kiwe eneo lenye usalama wa kutosha na kiwe jirañi na lami...
Wageni wa ofisi yake ya mbususu,CHUMBA CHA WAGENI WA OFISI kwa lengo la Mqzungumzo, Mikutano, Kulala, Chakula Nk nk nk.
Nyooosha maelezo Jemmy
Aseh ndo amemaanisha hayo?Wageni wa ofisi yake ya mbususu,
We mbona mgumu kuelewa.
Sawaa ngoja tuingie chimbo bibie.Natafuta chumba kizuri sana mitaa ya Mwenge kiwe master, choo, bafu, jiko na mahitaji yote muhimu.
Kiwe eneo lenye usalama wa kutosha na kiwe jirañi na lami...
Mbongo mpe picha tu maelezo utapata.Aseh ndo amemaanisha hayo?