natafuta chumba

natafuta chumba

Blue G

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
5,339
Reaction score
3,667
hallo wana jamii mpo???????natafuta chumba nitapata????
 
Tupo, pita mpaka ndani tuna nyumba nyenye kinyela mumo.
 
Karibu unatumia kinywaji gani wakati unamsubiri Katavi naona Ulimakafu amekuweka reception.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh........we jaluo mbona huna kamba mguuni?

kamba nilikuwa nayo ila ilikatika wakat nang'angana kuingia kwenye mlango wa jf.hivyo we nipe pole 2.
 
Karibu sana jamvini, msubiri mbalu akuletee Chang'aa upooze koo..

loooooooooo!!!!!!!!!!!mbona mnanipa raha mapema hivyo mwenzenu??????????na chang'aa ipo kweli hii ni jf ya ukween.
 
Huyu mgeni kweli?
Mbona kama naniliyu ila tu kabadili mtandio?

Mgeni kama unakata mchumbe wa kike umenipata, kama unataka wa kiume umenipata pia.

Mgeni bado anaongeza chang'aa na anataka na chips dume kama hauko vizuri tumwite yule bepari wa kihaya Bishanga Asprin na mtata Kongosho kukonyezakonyeza no maana anahaha mitaa yote lol...kukatiliwa kubaya.
 
Pita ndani.

mbona naona milango mingi niingilie upi???????wa kulia au kushoto????????kama vp toka uje unichukue ncje nkapotea mie kuku mgeni ati......
 
Huyu mgeni kweli?
Mbona kama naniliyu ila tu kabadili mtandio?

Mgeni kama unakata mchumbe wa kike umenipata, kama unataka wa kiume umenipata pia.
Kongosho tumsaidie kumshika mkono huyu si unaona amekaribishwa na Katavi kwa maji magumu, hata huyu Blue G naye ni komba ukimpa yale maji yetu pasiasi ataomba afungiwe mrija kwenye tank la bruariz.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom